Uhuru, Trump waidhinisha ujenzi wa barabara ya Nairobi Mombasa, habari kamili
- Ujenzi wa barabara ya Nairobi- Mombasa utaanza hivi karibuni, hii ni baada ya mkataba kati ya Uhuru na Trump
- Baada ya ujenzi wa barabara hiyo, usafiri wa Nairobi-Mombasa utachukua muda wa saa 4 na wala si 10 kama ilivyo sasa
Habari Nyingine : Picha za Kabogo akijivinjari na kipusa asiyejulikana zawasisimua Wakenya
Mradi mkubwa wa ujenzi wa barabara ya Nairobi –Mombasa inatarajiwa kuanza wakati wowote, hii ni baada ya mkataba iliyowekwa kati kati ya Rais Uhuru na na Rais Donald Trump wa Merikani.
Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka
Barabara hiyo ya moja kwa moja na ya kipekee itakuwa ya kwanza ya aina hiyo nchini Kenya huku magari yakisafiri kwa mwendo wa 120km/hr.
Habari Nyingine : Orodha ya familia 7 za wanasiasa matajiri zaidi nchini Kenya
Imebainika kuwa ujenzi wa barabara hiyo ukikamilika, basi usafiri wa Nairobi Mombasa utachukua muda wa saa nne na wala si kumi kama ilivyo sasa.
Ujenzi wa barabara hiyo itagawanywa kwa awamu tatu huku sehemu ya kwanza (174km) ikianzia uwanja wa ndege wa JKIA hadi Kibwezi.
Habari Nyingine : Ngina Kenyatta na mabinti wengine 9 wa marais wa Afrika wanaopendeza ajabu
Sehemu ya pili (132km) itaanzia Kibwezi hadi Voi huku sehemu ya tatu (160km) ikianzia Voi hadi Mombasa.
Barabara hiyo itajengwa na kampuni ya Uingereza, Bechetel Cosporation kwa KSh 300 bilioni.
Habari Nyingine : Huyu nduye mwanamme aliyemfanya Vera Sidika kumtema Otile Brown?
Inakisiwa kuwa barabara hiyo italeta faida maradufu ikilinganishwa na faidi ambayo barabara ya sasa imeleta kwa zaidi ya miaka 25.
‘’ Barabara hiyo itaimarisha usafiri, urahisi na usalama kati ya Nairobi- Mombasa,’’ Mkurugenzi wa KeNHA Peter Mundinia alisema.
Read ENGLISH VERSION
Una taarifa motomoto au sakata ambayo ungependa tuichapishe? Wasiliana nasi kwa news@tuko.co.ke, mwangi.muraguri@tuko.co.ke ,kwenye WhatsApp: 0732482690 na kwenye Telegram: Tuko News
Subscribe to watch new videosChanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdibYF1g49mrKGtoqp6tb7Upqdmr5Gesam1zaKqoZldqremutmiZLCZXZeus63BmqmaZamWeq%2BtyKumm6FdoryursCsmGagkZeus7WMpJimoZyee6nAzKU%3D