Diamond Platnumz alazimika kuomba msamaha kwa kuweka video chafu mtandaoni
-Diamond alifika mbele ya Mamlaka ya Kudhibiti Mawasiliano Tanzania(TCRA) kuhojiwa
-Iliripotiwa kuwa pasipoti yake ilitwaliwa na serikali
Huenda Diamond Platnumz anajuta kujaribu kumchokoza Zari kwani majaribio yake yamegonga mwamba.
Baba huyo wa watoto watatu alijirekodi na kuweka mtandaoni video zake akijiburudisha kimapenzi na wanawake wawili, miezi kadhaa baada ya kuachwa na mkewe Zari Hassan.
Habari Nyingine: Mbinu ya 'pastor' kuwavutia vijana kanisani inafurahisha, tazama video
Kulingana na ripoti ya Simulizi na Sauti, pasipoti ya mwanamuziki huyo maarufu ilichukuliwa muda mfupi baada ya kukamatwa kwa sababu ya video hizo.
Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka
"Nimekuja hapa kujua zaidi jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii, ninaelewa nina wafuasi wengi wanaoiga ninachoweka katika ukurasa wangu wa mitandao ya kijamii,” alisema.
Habari Nyingine: Picha 17 tamu sana za Lulu Hassan na mumewe, mtangazaji wa NTV, Rashid Abdalla
“Kuna video nilizoweka na ukweli ni kwamba hazikuwa nzuri, kwa yeyote niliyemkosea, ninaomba msamaha,” alisema zaidi.
Mwanamuziki huyo aliomba msamaha kwa sababu ya tabia yake isiyovutia katu hasa baada ya kukosolewa sana mtandaoni.
Habari Nyingine: Makubaliano kati yangu na Raila sio kwa sababu ya 2022-Uhuru Kenyatta
Diamond Alhamisi aliitwa na Mamlaka ya Kudhibiti Mawasiliano Tanzania(TCRA) kuhojiwa akiwa na mwanamuziki mwenzake, Nandy.
Huenda aliweka video hizo mtandaoni kwa kulenga kulipisha kisasi baada ya kuachwa na Zari.
Read ENGLISH VERSION
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Subscribe to watch new videosChanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdibH53f5Jmm6KZnaS7pXnPpZitpqWix26ty5qxoqWZoK5ut9SopJuZXaLAornAoZhmo6eWeqzB1p6immWmnrGmu4ycn5qepWK6ta3NnZioppljtbW5yw%3D%3D