Mwanahabari wa Citizen TV apata KICHAPO cha mbwa
- Mwanahabari wa shirika la Royal Media Services anauguza majeraha katika hospitali ya rufaa ya Bungoma baada ya kushambiliwa na kupigwa na mlinzi wa gavana wa Bungoma,Ken Lusaka
- Emmanuel Namisi alikashifiwa na mlinzi huyo kwa kuripoti taarifa tatanishi kumuhusu Lusaka
Mwanahabari wa shirika la Royal Media Services aliripotiwa kupata majeraha mabaya kichwani na usoni baada ya mlinzi wa gavana wa Bungoma Ken Lusaka kumpiga
Habari Nyingine: Mshindi wa KSh 221 milioni za Sportpesa amejishindia mpenzi MZUNGU? (picha)
Emammuel Namisi anaendelea kupata nafuu katika hospitali ya rufaa ya Bungoma.
Kulinga na Namisi, Mlinzi huyo alimshambulia akiwa kwenye mkahawa mmoja mjini Bungoma
Namisi alikashifiwa kwa kuripoti habari za uwongo kuhusu mauaji ya mwanamke mmoja katika hafla ya kisiasa iliyokumbwa na ghasia.
Pakua APP mpya ya TUKO upate habari BURE!
Habari Nyingine: Maajabu! Mwanamke ajifungua mapacha, mmoja wao ni NYOKA (picha)
Inasemeka ghasia hiyo ilizuka baada ya wafuasi wa Gavana Ken Lusaka na wa mpinzani wake, Wyclife Wangamati kukutana mjini Bungoma.
Namisi alisema ameandikisha taarifa katika kituo cha polisi na uchunguzi umeanzisha dhidi ya mlinzi huyo.
Read ENGLISH VERSION
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: aron.mtunji@tuko.co.ke
Chanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdiaX95hJdmpLCZnpa1oq7Aq6Bmr5FisKrAyLOcp2Wkq3qivMCtmGajmZi1orzOZpqhmV2ir7itjaGrpqQ%3D